yohana avith
Member
- May 26, 2011
- 7
- 2
Natafuta Makoko yanayoanza kutaga kwa bei kati ya shiling 5,000/= na 6,000/=.
Yasipungue makoko 40.
Napatikana kabuku Tanga, kwa yeyote alie karibu ama aliye dar na mwenye mzigo huo wa kutosha nipigie kwenye namba 0714639590.
Wadau ninasubir response kuhusu hii kitu