Natafuta Kuku aina ya Makoko

Natafuta Kuku aina ya Makoko

yohana avith

Member
Joined
May 26, 2011
Posts
7
Reaction score
2
Natafuta Makoko yanayoanza kutaga kwa bei kati ya shiling 5,000/= na 6,000/=.
Yasipungue makoko 40.
Napatikana kabuku Tanga, kwa yeyote alie karibu ama aliye dar na mwenye mzigo huo wa kutosha nipigie kwenye namba 0714639590.
 
Makoko ndio nini???
 
Wadau ninasubir response kuhusu hii kitu

Sio kwamba wadau hawana majibu, bei ndio tatizo kwa sasa kiwango cha chini kwa kuku anayetaga ni 10,000 bila kujadiliana hii ni bei ambayo mkulima anauza tofauti na wewe unavotaka kuku wa mayai 5000,6,000 ni vigumu kupata kwa bei hio
 
Kama tatizo ni bei,muuzaj angejitokeza na kutaja yake na tusingeshindwana hakika,kukaa kimya kisa bei sifikiri kama ni sababu
 
Back
Top Bottom