ms babysitter Member Joined Nov 2, 2014 Posts 55 Reaction score 5 Apr 1, 2015 #1 Wapi hapa dar naweza kupata kuku wa kisasa wa mayai? (Vifaranga) Msaada wenu tafadhalini
J Joo Wane JF-Expert Member Joined Mar 14, 2007 Posts 1,476 Reaction score 2,803 May 28, 2015 #2 Wanapatikana wapi kuku wa mayai wekundu au weusi wanaokaribia kutaga na bei yake kwa hapa dsm?
J Joo Wane JF-Expert Member Joined Mar 14, 2007 Posts 1,476 Reaction score 2,803 May 28, 2015 #3 Jamani sisi wengine tunataka kufuga tujulisheni wanapatikana wapi hao kuku wa mayai wanaokaribi a kutaga kwa hapa dsm/pwani pamoja na bei yake.
Jamani sisi wengine tunataka kufuga tujulisheni wanapatikana wapi hao kuku wa mayai wanaokaribi a kutaga kwa hapa dsm/pwani pamoja na bei yake.