Natafuta kuku wa kisasa (layers)

Natafuta kuku wa kisasa (layers)

ms babysitter

Member
Joined
Nov 2, 2014
Posts
55
Reaction score
5
Wapi hapa dar naweza kupata kuku wa kisasa wa mayai? (Vifaranga)

Msaada wenu tafadhalini
 
Wanapatikana wapi kuku wa mayai wekundu au weusi wanaokaribia kutaga na bei yake kwa hapa dsm?
 
Jamani sisi wengine tunataka kufuga tujulisheni wanapatikana wapi hao kuku wa mayai wanaokaribi a kutaga kwa hapa dsm/pwani pamoja na bei yake.
 
Back
Top Bottom