American nigga
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 902
- 1,545
- Thread starter
-
- #21
hahaha kisirani gani tena!! hata nilipo mimi wapo wengi shida ni kuwakamata! unatakiwa kuwakamata wewePunguza kisirani tufanye biashara! Wapo hapa shazi unakuja kukamata mwenyewe au?
This is JF mkuu chill, huwezi zuia mawazo ya watu we focus na watakaokupatia msaada wa kuwapata comments zingine potezea. Itakusaidia......kunguru hafugiki, haliwi, sa tujiulizeje kwa mfano🤣🤣Umemjbui kama unajua kusudi langu! mimi nimekambia wapi nawapeleka kwa mganga?
"sa tujiulizeje kwa mfano" hii kauli ina utata kwa kina! wewe ni me au ke? anyway nani kasema haliwi!! nani kasema ukila kunguru unakufa?This is JF mkuu chill, huwezi zuia mawazo ya watu we focus na watakaokupatia msaada wa kuwapata comments zingine potezea. Itakusaidia......kunguru hafugiki, haliwi, sa tujiulizeje kwa mfano🤣🤣
wakiwa hai mkuuUko serious? Wakiwa hai au wafu?
Siwezi🙌🏾hahaha kisirani gani tena!! hata nilipo mimi wapo wengi shida ni kuwakamata! unatakiwa kuwakamata wewe
hahah nataka na viwiliwili mzeeLainisha uzi kwa kuomba vichwa vya kunguru
We unataka mwili mzima unataka wa kukatia hangover
Unapata kiu Mpaka unakufa!"sa tujiulizeje kwa mfano" hii kauli ina utata kwa kina! wewe ni me au ke? anyway nani kasema haliwi!! nani kasema ukila kunguru unakufa?
hahahaa wewe ulithibitissha mtu akipata kiu hadi kifo?Unapata kiu Mpaka unakufa!
Ukimpa ndio hivyo!! Karibu uone mkuuhahah
hahahaa wewe ulithibitissha mtu akipata kiu hadi kifo?
HEhehe acha utani nipo seriousView attachment 3585374nipe changu Mzee,kunguru tayari huyo hapo
Jitahidi upeleke ulichoagizwa mkuu, wangu anaelekea kumaliza kuku wangu bila mafanikio ukifanikiwa utaniambia nihamie huko😉"sa tujiulizeje kwa mfano" hii kauli ina utata kwa kina! wewe ni me au ke? anyway nani kasema haliwi!! nani kasema ukila kunguru unakufa?
Nimeshafanikiwa hawa kunguru zaidi ya 100 ninaowataka ni asante tuJitahidi upeleke ulichoagizwa mkuu, wangu anaelekea kumaliza kuku wangu bila mafanikio ukifanikiwa utaniambia nihamie huko😉