Natafuta Kunguru! tsh 7000 kwa kila mmoja

Duuh hii story inatisha hakika
 
Natengeneza safina ni lazima niweke viumbe wote Nyie wajuaji mtapanda helicopter kwa siku 30
 
Huyo mtu mnayekwenda kuharibu msimfukuzie mbali na familia yake tafadhali bora mumfanye kondoo awepo tu paka vile karibu na ndugu zake
Kuna
Mahali nilisikia
Ukilogwa kwa kunguru umeisha… aaah sijui kama kweli lakini..
 
Kuna
Mahali nilisikia
Ukilogwa kwa kunguru umeisha… aaah sijui kama kweli lakini..
Mambo ya watu wa pwani hayo....namhurumia anayeshughulikiwa kwa kunguru.....lakini mbona bei yake efu 7 na sio 8 au 6?
 
Leo mida ya jioni nilimuona kunguru akiwa amekatwa mguu mmoja.

Sio siri nilijisikia vibaya kwa sababu najua hakutotolewa hivyo.

Ila kuna watu kama mleta mada watakua wamefanya yao.
Wananyea watu sana kuna namna
 
Huyo mtu mnayekwenda kuharibu msimfukuzie mbali na familia yake tafadhali bora mumfanye kondoo awepo tu paka vile karibu na ndugu zake
Hii ni dhana ni pure Hasty Generalization fallacy, lengo kuu ni mbali kabisa na hayo masuala😆😆
 
Ukae ukijua ukikamatwa na kunguru zaidi ya kumi utaenda kunyea debe,hiyo ni maliasili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…