Natafuta Kunguru wanaojaamiana

Natafuta Kunguru wanaojaamiana

Unapokosa kujuwa kuwa mojawapo ya kazi za vyombo vya habari ni kuburudisha ndipo posts zako zisizokidhi weledi wa uandishi zinapokataliwa na kutupwa kama vile msingi wa kuandikwa kwake ni bangi ya Arumeru. Kwa mantiki hiyo ya mmea wa Arumeru unaokutengenezea kukataliwa unaweza kufanya hadhira ijizuie kukucheka pale utapoamini kuwa Katuni pia sizo habari bali ni utumbo na kwamba hazistahili kuchwapwa.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Hivi JF ni chombo cha habari na sisi ni waandishi wa habari! Ndiyo sababu Tanzania ina waandishi wa hovyo sana.
 
Najuwa Dubai picha za ngono zina bei sana ila sikujuwa hata picha za ndege wanaojamiana pia zina soko huko. Swali la uzushi, picha ya ndege wengine wanaojamiana huko ni shillingi ngapi, nataka nikutumie picha za njiwa wangu wakijamiana.
Njiwa hata mimi ningezipiga chap maana mwanangu anawafuga, akiwapa ulezi tu balaa inabidi tuwafiche watoto na wakwe pia. Shomoro ndiyo usiseme, kutwa mara 3, wamejaza viota kwenye paa.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
hao mashetanii leoo wamenishambuliaaaa mafalaa sanaaa kisa niliharibu kiota chao
 
Back
Top Bottom