Natafuta kununua Miguu ya kitimoto kwa Dar es Salaam kwa Kongoro

CodeX

Member
Joined
Sep 2, 2018
Posts
27
Reaction score
200
Wakuu, kama una sehemu unafahamu wanauza miguu ya kitimoto nahitaji ya kununua.

Nimefungua kijiwe cha Kuchemsha Kongoro zake.

Nahitaji order kuanzia 80 na kuendelea.

Nicheki kwa simu 0762 75 31 40, whatsapp pia 0762 75 31 40.

Asanteni.
 
Mdudu [emoji3064]
 
Duh sikuwahi fikiria kuna watu wanakula miguu ya mdudu...
Kumbe kila kitu kinaliwa sasa nasikia wachina wanakula hadi ngozi yake
 
Naaaam hatuachi kitu 😊
 
Wakuu, kama una sehemu unafahamu wanauza miguu ya kitimoto nahitaji ya kununua.

Nimefungua kijiwe cha Kuchemsha Kongoro zake.

Nahitaji order kuanzia 80 na kuendelea.

Nicheki kwa simu 0762 75 31 40, whatsapp pia 0762 75 31 40.

Asanteni.
Nenda pale machinjioni Tabata Kisiwani utapata ya kutosha tu.
 
Back
Top Bottom