Natafuta Kushiriki kwenye Biashara

Ambae ana experience ya biashara ya restaurant na ana mtaji na nia ya kufanya biashara anitafute nauza biashara iliyosimama. Nimehamishwa kikazi na serikali hivyo itaniwia vigumu kuisimamia. Ipo Dar maeneo kati ya Airport na banana (sijatoa specific location makusudi). Kuna vifaa vipya na inatumia nishati ya gas.
 
unapoongerea biahara,zipo nyingi kaka , mii natafuta mtu mwenyemtaji wa lkaki tano tu. nifanye naye biahara ambayo itampa faida ya laki mbili kila mwezi
Mkuu njoo niPM tupange mikakati
 
weka namba yako tuanzishe group, na wengine watajiunga tu
 
Nitumie namba yk tuongee
 
Nitumie namba tuongee
 
Aisee mwenye hii biashara ya karanga, Naomba mwongozo no yangu 0767328063
 
Mkuu Naomba tuwasiliane 0767328063
 
Jameni mimi Niko interested na biashara Sana tuu, Nina biashara kadhaa na ningependa kuendelea kuzitanua Niko na mtaji kiasi , hivo ningependa kutawanya mtaji huu katika biashara tofauti, hivo mwenye wazo zuri Naomba unicheki Kwa 0767328063 /0787322402
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…