KIJANA2013
JF-Expert Member
- Jan 21, 2013
- 466
- 201
- Thread starter
- #21
nitumie namba yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitafute.Aisee kama upo tayari tufanye hiyo biashara ya karanga
nitumie namba yako nitakupigia
Mkuu njoo niPM tupange mikakatiunapoongerea biahara,zipo nyingi kaka , mii natafuta mtu mwenyemtaji wa lkaki tano tu. nifanye naye biahara ambayo itampa faida ya laki mbili kila mwezi
Nitumie namba yk tuongeeMkuu mie sina mtaji lakini nina experience kidogo ya biashara ya karanga.
Mimi nime fanya hii biashara kwa miezi4 nikiwa namsaidia binamu yangu huko kijijini mkoani, tulikuwa tunapeleka kahama ndiyo soko la karanga lilipo. kwa mwaka huu wanasema karanga ni nyingi sana kupita maelezo kwa taarifa ninazozipata, kama wewe mkuu unania ya dhati tunaweza kushilikiana.
Nitumie namba tuongeeAmbae ana experience ya biashara ya restaurant na ana mtaji na nia ya kufanya biashara anitafute nauza biashara iliyosimama. Nimehamishwa kikazi na serikali hivyo itaniwia vigumu kuisimamia. Ipo Dar maeneo kati ya Airport na banana (sijatoa specific location makusudi). Kuna vifaa vipya na inatumia nishati ya gas.
Mkuu Naomba tuwasiliane 0767328063Ambae ana experience ya biashara ya restaurant na ana mtaji na nia ya kufanya biashara anitafute nauza biashara iliyosimama. Nimehamishwa kikazi na serikali hivyo itaniwia vigumu kuisimamia. Ipo Dar maeneo kati ya Airport na banana (sijatoa specific location makusudi). Kuna vifaa vipya na inatumia nishati ya gas.
Mkuu nipo interested na hio business check me on 0767328063Nitafute.