Natafuta Laini ya Safaricom

Mhhh!! Kumbe biashara nzuri . 40K afu nataka kubetia tu..na betting siku hizi haieleweki.
Bora umeniambia Bei mapema niwe mpole!
Tafuta utapata wapo wanauzaga hadi elfu 15
 
Mhhh!! Kumbe biashara nzuri . 40K afu nataka kubetia tu..na betting siku hizi haieleweki.
Bora umeniambia Bei mapema niwe mpole!
Bei elekezi ni 10000 ,tofauti na hapo ujue umepigwa. Kuna uzi humu jaribu kutafuta wa line za safaricom utapata, tena unaweza pata pungufu ya hapo maana now hazina kazi watu wengi walikuwa wanatumia kwa mishe za forex now imepigwa panga kenya ,so watu wanazo hazina kazi.
 
Daah! Huyu mzawa alitaka kunirangua kizembe!?
10k ndio najua hata Mimi Sasa 40K tena? Asee!
 
Mm nimenunua 40k kwasababu nilikuwa na shida nayo sana malipo ya PayPal ilikuwa shida kwangu sasa kuna jamaa anauza 40k bila punguzo na mm sikuona tabu kwa sababu ya kazi nazofanya.
 
Daah! Huyu mzawa alitaka kunirangua kizembe!?
10k ndio najua hata Mimi Sasa 40K tena? Asee!
Hiyo telegram utapata ushauri wa kila kitu humo. Wengi now hawazitumii wanauza hadi 5000
 
Mm nimenunua 40k kwasababu nilikuwa na shida nayo sana malipo ya PayPal ilikuwa shida kwangu sasa kuna jamaa anauza 40k bila punguzo na mm sikuona tabu kwa sababu ya kazi nazofanya.
Aah ok , mkuu mimi niliuziwa 10000 mwaka jana now ipo tu haina kazi.
 
Akanunue mkuu kwa bei elekezi
Ndio mkuu kwenye hilo group, wanauzi wao humu jamii forum na ushauri wanatoa bure kabisa hata ukipatwa na tatizo wanakusaidia kutatua. Hiyo 40k sijui hata nisemeje ngoja tu ninyamaze
 
Mm nimetafuta sana aisee sikupata ndio nikaelekezwa kwa jamaa akaniuzia 40k
Huyo jamaa ni tapeleli mkubwa, sema tu mtu unatoa tu sababu ya shida now line za safaricom zipo kila kona kila mtu anayo walikiwa wanatradia forex now kenya wamezuia. Watu wananunua MTN kutoka uganda ndio habari ya mjini
 
Napata wapi mtn mkuu

Sent from my SM-G950U1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…