- Thread starter
- #21
Tafuta utapata wapo wanauzaga hadi elfu 15Mhhh!! Kumbe biashara nzuri . 40K afu nataka kubetia tu..na betting siku hizi haieleweki.
Bora umeniambia Bei mapema niwe mpole!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuta utapata wapo wanauzaga hadi elfu 15Mhhh!! Kumbe biashara nzuri . 40K afu nataka kubetia tu..na betting siku hizi haieleweki.
Bora umeniambia Bei mapema niwe mpole!
Bei elekezi ni 10000 ,tofauti na hapo ujue umepigwa. Kuna uzi humu jaribu kutafuta wa line za safaricom utapata, tena unaweza pata pungufu ya hapo maana now hazina kazi watu wengi walikuwa wanatumia kwa mishe za forex now imepigwa panga kenya ,so watu wanazo hazina kazi.Mhhh!! Kumbe biashara nzuri . 40K afu nataka kubetia tu..na betting siku hizi haieleweki.
Bora umeniambia Bei mapema niwe mpole!
Daah! Huyu mzawa alitaka kunirangua kizembe!?Bei elekezi ni 10000 ,tofauti na hapo ujue umepigwa. Kuna uzi humu jaribu kutafuta wa line za safaricom utapata, tena unaweza pata pungufu ya hapo maana now hazina kazi watu wengi walikuwa wanatumia kwa mishe za forex now imepigwa panga kenya ,so watu wanazo hazina kazi.
Mm nimenunua 40k kwasababu nilikuwa na shida nayo sana malipo ya PayPal ilikuwa shida kwangu sasa kuna jamaa anauza 40k bila punguzo na mm sikuona tabu kwa sababu ya kazi nazofanya.Bei elekezi ni 10000 ,tofauti na hapo ujue umepigwa. Kuna uzi humu jaribu kutafuta wa line za safaricom utapata, tena unaweza pata pungufu ya hapo maana now hazina kazi watu wengi walikuwa wanatumia kwa mishe za forex now imepigwa panga kenya ,so watu wanazo hazina kazi.
Mkuu tafuta utapata kwa bei elekezi wala mm sikulangui.Wapo tena wanauza hadi 50 DarDaah! Huyu mzawa alitaka kunirangua kizembe!?
10k ndio najua hata Mimi Sasa 40K tena? Asee!
Hiyo telegram utapata ushauri wa kila kitu humo. Wengi now hawazitumii wanauza hadi 5000Daah! Huyu mzawa alitaka kunirangua kizembe!?
10k ndio najua hata Mimi Sasa 40K tena? Asee!
Akanunue mkuu kwa bei elekeziHiyo telegram utapata ushauri wa kila kitu humo. Wengi now hawazitumii wanauza hadi 5000 View attachment 1625028
Aah ok , mkuu mimi niliuziwa 10000 mwaka jana now ipo tu haina kazi.Mm nimenunua 40k kwasababu nilikuwa na shida nayo sana malipo ya PayPal ilikuwa shida kwangu sasa kuna jamaa anauza 40k bila punguzo na mm sikuona tabu kwa sababu ya kazi nazofanya.
Mm nimetafuta sana aisee sikupata ndio nikaelekezwa kwa jamaa akaniuzia 40kAah ok , mkuu mimi niliuziwa 10000 mwaka jana now ipo tu haina kazi.
Ndio mkuu kwenye hilo group, wanauzi wao humu jamii forum na ushauri wanatoa bure kabisa hata ukipatwa na tatizo wanakusaidia kutatua. Hiyo 40k sijui hata nisemeje ngoja tu ninyamazeAkanunue mkuu kwa bei elekezi
Huyo jamaa ni tapeleli mkubwa, sema tu mtu unatoa tu sababu ya shida now line za safaricom zipo kila kona kila mtu anayo walikiwa wanatradia forex now kenya wamezuia. Watu wananunua MTN kutoka uganda ndio habari ya mjiniMm nimetafuta sana aisee sikupata ndio nikaelekezwa kwa jamaa akaniuzia 40k
Bado ipoAah ok , mkuu mimi niliuziwa 10000 mwaka jana now ipo tu haina kazi.
Napata wapi mtn mkuuHuyo jamaa ni tapeleli mkubwa, sema tu mtu unatoa tu sababu ya shida now line za safaricom zipo kila kona kila mtu anayo walikiwa wanatradia forex now kenya wamezuia. Watu wananunua MTN kutoka uganda ndio habari ya mjini