Natafuta laptop kwa ajili ya matumiz ya chuo

Natafuta laptop kwa ajili ya matumiz ya chuo

mnyagura

Member
Joined
Sep 30, 2017
Posts
70
Reaction score
29
Wakuu naomba mnisaidie eti ni laptop yenye specs gan anayotakiwa kua nayo mwanafunzi anayechukua
Bacherol of science in multimedia technology and animation
 
Wakuu naomba mnisaidie eti ni laptop yenye specs gan anayotakiwa kua nayo mwanafunzi anayechukua
Bacherol of science in multimedia technology and animation
Ni vizuri ukamuuliza mkufunzi wako, yeye anajua mambo unayojifunza/utakayojifunza, baada ya hapo utamuulizia/utaulizia computer yenye uwezo wa kubeba mambo hayo!
 
Dah hongera kwa kupata chuo na mkopo
 
Chukua macbook milioni moja na nusu. Ama chukua macintosh
 
Wakuu naomba mnisaidie eti ni laptop yenye specs gan anayotakiwa kua nayo mwanafunzi anayechukua
Bacherol of science in multimedia technology and animation
Hizi hapa ndio sifa bora ya laptop kuendana na mahitaji yako:-
1 Processor iwe Intel Core i3 au Core i5
2 RAM iwe 4gb nakuendelea
2 hard disk iwe 500gb nakuendelea
 
Mm nina lenovo thinkpad corei7,1tb hdd, ram8gb. Ni used nishaitumia, nauza laki4 bei haipungui
Ok!
Japo ungeweka na picha yake sifa za kutunza chaji ungesaidia hata mimi kufanya maamuzi.
 
Mi sijui huwa tunapewa hapa ofisini kila baada ya miaka 3
 
Hiyo hapo
Screenshot_20180309-220032.jpg
Screenshot_20180309-220024.jpg
Screenshot_20180309-220018.jpg
 
Back
Top Bottom