mr_politician
JF-Expert Member
- Sep 20, 2015
- 631
- 452
bado unayo MzeeMm nina lenovo thinkpad corei7,1tb hdd, ram8gb. Ni used nishaitumia, nauza laki4 bei haipungui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bado unayo MzeeMm nina lenovo thinkpad corei7,1tb hdd, ram8gb. Ni used nishaitumia, nauza laki4 bei haipungui
Kwa usalama wako rudisha PC ofisini,tunaweza kuitrace kokote utakapoiuza na kuishutdown.So hii nlibaki nayo nikasingizia imeibiwa
[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]Kwa usalama wako rudisha PC ofisini,tunaweza kuitrace kokote utakapoiuza na kuishutdown.
Wizi nao kipaji eeh
Bado huridhiki ofisi inakupa kila kitu hadi mkeo anatibiwa na ofisi.
Again rudisha PC mara moja mkabidhi HR,na uandike barua ya kuomba msamaha!!
Jibu zuri kabisaNi vizuri ukamuuliza mkufunzi wako, yeye anajua mambo unayojifunza/utakayojifunza, baada ya hapo utamuulizia/utaulizia computer yenye uwezo wa kubeba mambo hayo!
Mkuu me nahitaji ila Nina 200kNinazo nyingi nauza 280000View attachment 831536
wenye busara wameshajibu tayari.Jibu zuri kabisa
Betri imefanyaje?Nikupe hp core i3 2.4 ghtz processor, Ram 4gb, hdd 320 tatizo battery tu 250k nauza
Hii nayo umeiba?Ninazo nyingi nauza 280000View attachment 831536
HahaaaHii nayo umeiba?
Haikai kabisa na charge ila iko fresh sana ndio nliomaliza nayo chuo mzeeBetri imefanyaje?
Betri imekufa au uwezo mdogo?Haikai kabisa na charge ila iko fresh sana ndio nliomaliza nayo chuo mzee
Imekufa kabisa haifadhi charge hata kidogo mwanzon ilikuwa poa sahivi haikai na charge kabisaBetri imekufa au uwezo mdogo?
Betri zake zinapatikana mtaani?Imekufa kabisa haifadhi charge hata kidogo mwanzon ilikuwa poa sahivi haikai na charge kabisa
No way, jitahidi angalau 260Mkuu me nahitaji ila Nina 200k
Mkuu Nina hyohyo tuNo way, jitahidi angalau 260