Ni vizuri ukamuuliza mkufunzi wako, yeye anajua mambo unayojifunza/utakayojifunza, baada ya hapo utamuulizia/utaulizia computer yenye uwezo wa kubeba mambo hayo!Wakuu naomba mnisaidie eti ni laptop yenye specs gan anayotakiwa kua nayo mwanafunzi anayechukua
Bacherol of science in multimedia technology and animation
Tafuta PC yenye RAM kuanzia 4GB, HDD kuanzia 320GBNdugu yang mkopo utokee wap
Hizi hapa ndio sifa bora ya laptop kuendana na mahitaji yako:-Wakuu naomba mnisaidie eti ni laptop yenye specs gan anayotakiwa kua nayo mwanafunzi anayechukua
Bacherol of science in multimedia technology and animation
Ok!Mm nina lenovo thinkpad corei7,1tb hdd, ram8gb. Ni used nishaitumia, nauza laki4 bei haipungui
Mkuu, nimeipenda hii.Mm nina lenovo thinkpad corei7,1tb hdd, ram8gb. Ni used nishaitumia, nauza laki4 bei haipungui
Picha pleaseMm nina lenovo thinkpad corei7,1tb hdd, ram8gb. Ni used nishaitumia, nauza laki4 bei haipungui