Computer4Sale Natafuta Laptop

Computer4Sale Natafuta Laptop

crusader_jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2019
Posts
994
Reaction score
851
Habari wakuu poleni na majukumu ya kulijenga taifa na familia zenu kwa pamoja iitikieni salamu😁
Nahitaji laptop(acer,hp,lenovo na asus) used na iwe kwenye condition nzuri iwe na sifa zifuatazo
1. Iwe na Intel I series(i5 kuendelea) na gen ya 4 kwende juu
2. ram gb4/8
3. HDD/SSD(500/258)
4. ikiwa slim kiasi itapendeza pamoja na graphics card nzuri.
Bajeti 500k
Nawasilisha.

NAPATIKANA KAWE DAR ES SALAAM
 
Na, maana yake aina zote hizo unazitaka? Au?
 
H p corei5, laki 4 , refurbished from USA, piga 0713039875
 
Habari wakuu poleni na majukumu ya kulijenga taifa na familia zenu kwa pamoja iitikieni salamu[emoji16]
Nahitaji laptop(acer,hp,lenovo na asus) used na iwe kwenye condition nzuri iwe na sifa zifuatazo
1. Iwe na Intel I series(i5 kuendelea) na gen ya 4 kwende juu
2. ram gb4/8
3. HDD/SSD(500/258)
4. ikiwa slim kiasi itapendeza pamoja na graphics card nzuri.
Bajeti 500k
Nawasilisha.

NAPATIKANA KAWE DAR ES SALAAM
Habari Mkuu?
Ulipata laptop?
Kma bado nicheki 0755411455
 
Back
Top Bottom