Natafuta Lenzi za Taa za nyuma Subaru Impreza 2012 – Dar es Salaam

Mtarban

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
3,952
Reaction score
5,263
Habari wanajukwaa.

Kama title inavyojieleza, naomba msaada kujua ni wapi hapa Dar es Salaam ninaweza kupata lenzi za taa za nyuma kwa gari aina ya Subaru Impreza ya mwaka 2012.

Kama kuna duka, fundi, au mtu yeyote anayefahamu sehemu sahihi, naomba anishauri.

Natanguliza shukrani. Naamini kupitia jukwaa hili nitapata msaada kwa urahisi kuliko kuzunguka maduka mbalimbali.

Maoni ya Mdau

Mtafute dubai ya bongo
0767579444
 
Habari wanajukwaa.
Kama title inavyojieleza, naomba msaada kujua ni wapi hapa Dar es Salaam ninaweza kupata lenzi za taa za nyuma kwa gari aina ya Subaru Impreza ya mwaka 2012.
Kama kuna duka, fundi, au mtu yeyote anayefahamu sehemu sahihi, naomba anishauri.
Natanguliza shukrani. Naamini kupitia jukwaa hili nitapata msaada kwa urahisi kuliko kuzunguka maduka mbalimbali.
Nitafute mimi 0712 148001
 
Back
Top Bottom