Mtafute dubai ya bongo
0767579444
Shukrani. Nitacheki naeMtafute dubai ya bongo
0767579444
Nitafute mimi 0712 148001Habari wanajukwaa.
Kama title inavyojieleza, naomba msaada kujua ni wapi hapa Dar es Salaam ninaweza kupata lenzi za taa za nyuma kwa gari aina ya Subaru Impreza ya mwaka 2012.
Kama kuna duka, fundi, au mtu yeyote anayefahamu sehemu sahihi, naomba anishauri.
Natanguliza shukrani. Naamini kupitia jukwaa hili nitapata msaada kwa urahisi kuliko kuzunguka maduka mbalimbali.
Nimekucheki wasapNitafute mimi 0712 148001
Asante sanaMtafute dubai ya bongo
0767579444