BonventureSr
JF-Expert Member
- Nov 16, 2023
- 879
- 1,432
🎯Ooh, Pole sana kwamba ndoa yenu haikuweza kudumu zaidi.
Kama hautojali, kwanini mliamua kuachana? Ulimkosea?
Nitumie PM namba ya mama watoto wako kama hautajali mkuu kuna kitu nataka nimshauri
Ukiachwa achika mkuuMama yake ameshindwa hutaweza mzee namuachia nyumba tuliyojenga akae na wanangu i will be visiting them hapo.
Ooh, Pole sana kwamba ndoa yenu haikuweza kudumu zaidi.
Kama hautojali, kwanini mliamua kuachana? Ulimkosea?
Asante, to be honest nilikosea i cheated while tuko in long distance in 4 years alikua mkoani. Aliporudi Dar aligundua tukaanza kugombana, Kaenda mahakamani akidai talaka.
Niseme kweli alipofika hiyo stage ya mahakamani sikutaka tena kurudiana nae cz ni hatua ngumu kwangu na siko tayari kumpokea tena.
Kama kijana wa kiume i had to report it to her parents wakakataa hatua tuliyofikia na kutushauri turudi kwa ndoa akakubali ila binafsi moyo wangu ulishaingia ganzi.
Mimi ni kijana natafuta kwaajili ya kizazi changu yeye anapambana kwenda mahakamani kugawana nyumba nikimrudisha atakuja kunisumbua wakati nimechuma vingi tugawane tena. Wakati nimepanga kuwekeza kwa ajili ya wanangu huko mbeleni ni kugumu sitaki wategemee ajira kama mimi.
Nina vitu nafanya but siko huru navyo nina miradi but naandikisha jina la dada yangu Tin natumia ya sister kuepuka usumbufu
Ukiachwa achika mkuu
Mgie no mzee wa kataa ndoa.
Pole mkuu, haukuwa una cheat peke yako. Alikua ana cheat pia.Asante, to be honest nilikosea i cheated while tuko in long distance in 4 years alikua mkoani. Aliporudi Dar aligundua tukaanza kugombana, Kaenda mahakamani akidai talaka.
Pole OP.Asante, to be honest nilikosea i cheated while tuko in long distance in 4 years alikua mkoani. Aliporudi Dar aligundua tukaanza kugombana, Kaenda mahakamani akidai talaka.
Niseme kweli alipofika hiyo stage ya mahakamani sikutaka tena kurudiana nae cz ni hatua ngumu kwangu na siko tayari kumpokea tena.
Kama kijana wa kiume i had to report it to her parents wakakataa hatua tuliyofikia na kutushauri turudi kwa ndoa akakubali ila binafsi moyo wangu ulishaingia ganzi.
Mimi ni kijana natafuta kwaajili ya kizazi changu yeye anapambana kwenda mahakamani kugawana nyumba nikimrudisha atakuja kunisumbua wakati nimechuma vingi tugawane tena. Wakati nimepanga kuwekeza kwa ajili ya wanangu huko mbeleni ni kugumu sitaki wategemee ajira kama mimi.
Nina vitu nafanya but siko huru navyo nina miradi but naandikisha jina la dada yangu Tin natumia ya sister kuepuka usumbufu
Pole OP.
Nakutakia heri katika kutafuta kwako. Ukampate aliye sahihi na atakayekupenda wewe na watoto wako na atakayeshirikiana na wewe kulinda urithi unaoandalia watoto wako.
Ila jitahidi usi mcheat utakayempata.
Wewe nisaidie kwanza hiyo namba mengine yatajulikana mbele kwa mbele hukoMama yake ameshindwa hutaweza mzee namuachia nyumba tuliyojenga akae na wanangu i will be visiting them hapo.
Pole sana mkuuAsante, to be honest nilikosea i cheated while tuko in long distance in 4 years alikua mkoani. Aliporudi Dar aligundua tukaanza kugombana, Kaenda mahakamani akidai talaka.
Niseme kweli alipofika hiyo stage ya mahakamani sikutaka tena kurudiana nae cz ni hatua ngumu kwangu na siko tayari kumpokea tena.
Kama kijana wa kiume i had to report it to her parents wakakataa hatua tuliyofikia na kutushauri turudi kwa ndoa akakubali ila binafsi moyo wangu ulishaingia ganzi.
Mimi ni kijana natafuta kwaajili ya kizazi changu yeye anapambana kwenda mahakamani kugawana nyumba nikimrudisha atakuja kunisumbua wakati nimechuma vingi tugawane tena. Wakati nimepanga kuwekeza kwa ajili ya wanangu huko mbeleni ni kugumu sitaki wategemee ajira kama mimi.
Nina vitu nafanya but siko huru navyo nina miradi but naandikisha jina la dada yangu Tin natumia ya sister kuepuka usumbufu
Pole sana mkuu
Wewe nisaidie kwanza hiyo namba mengine yatajulikana mbele kwa mbele huko
[emoji375][emoji375]Namuheshimu mzee ni mama wa wanangu,infact sikuanzisha uzi huu kwa hizo mambo mzeee