Asante, to be honest nilikosea i cheated while tuko in long distance in 4 years alikua mkoani. Aliporudi Dar aligundua tukaanza kugombana, Kaenda mahakamani akidai talaka.
Niseme kweli alipofika hiyo stage ya mahakamani sikutaka tena kurudiana nae cz ni hatua ngumu kwangu na siko tayari kumpokea tena.
Kama kijana wa kiume i had to report it to her parents wakakataa hatua tuliyofikia na kutushauri turudi kwa ndoa akakubali ila binafsi moyo wangu ulishaingia ganzi.
Mimi ni kijana natafuta kwaajili ya kizazi changu yeye anapambana kwenda mahakamani kugawana nyumba nikimrudisha atakuja kunisumbua wakati nimechuma vingi tugawane tena. Wakati nimepanga kuwekeza kwa ajili ya wanangu huko mbeleni ni kugumu sitaki wategemee ajira kama mimi.
Nina vitu nafanya but siko huru navyo nina miradi but naandikisha jina la dada yangu Tin natumia ya sister kuepuka usumbufu