Natafuta life partner wa kike

🙆
 
7 years with 2 kids mbona mmefika mbali tu kaka.

Nikutakie mafanikio katika utafutaji wako. Mungu awe upande wako kaka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wamefika mbali panatosha eti? Tupokee wengine kijiti
 
You're the man.Usiangalie nyuma utageuka kuwa mnara wa chumvi.Bravo!
 
Uwezo wa mtu mweusi kupambana na changamoto ni mdogo sana ndo maana maisha yetu kama yalivyo

Hata huyo mwanamke mwingine akidai talaka siutamziria na kumwacha swali utaacha wangapi ni hatari sana kwa mwanaume kuwa na tabia za kuzira hasa unapokutana na changamoto

Mtu mweusi anapokutana na changamoto akili ya kwanza ni kutafuta short-cut au kuizira na sio kuiface

Ndoa na mahusiano ni kwa strong men wewe endelea kununua malaya, sikushauri uingie kwenye mahusiano Itakupokuja changamoto mfano wa hio ya mara ya kwanza utaingia tena mitini
 

Ni mtazamo wakomzee siwezi kukupinga, nilishavuka level za kununua malaya bwana mdogo.
 
Ukipata bibi mpya kumbuka kufanya pre nuptials agreement.Itakusaidia kuondoa usumbufu incase mkishindwana tena.Pole saana
 
Dah....uliingia kifungoni ukiwa na 25yrs? ... shenzi zako 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Dah....uliingia kifungoni ukiwa na 25yrs? ... shenzi zako [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]

Early is better mzee mazingira yaliruhusu ningeingia na 30+ now ningerudi nyuma sanaa. kama bado hujapata mtu anza mapema sikutaka kulea waangu na pension kaka.
 
Hujawahi kujutia kumcheat mke wako wa ndoa? Hujawahi kuamini kwamba alikuwa sahihi kudai talaka? Uliwahi kuvaa viatu vyake japo kwa dkk kadhaa?
 
Early is better mzee mazingira yaliruhusu ningeingia na 30+ now ningerudi nyuma sanaa. kama bado hujapata mtu anza mapema sikutaka kulea waangu na pension kaka.
Dah...hii inaweza kuwa sababu ya kuachana 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…