Natafuta like minded people....(technology, businesses.....n.k)

Mimi sijasoma hayo makitu lakininaweza kukuunganisha na mtu ukawa tajiri ndani ya miezi sits. Kama uko tayari nijulishe Ila utanipatia mapato yako 20% kwa mwaka mzima.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nashukuru....ila nilikua ninahitaji watu ambao tutakaa meza moja tukaweka mawazo yetu pamoja na tukatengeneza kitu....sina haraka ya kua tajiri


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru....ila nilikua ninahitaji watu ambao tutakaa meza moja tukaweka mawazo yetu pamoja na tukatengeneza kitu....sina haraka ya kua tajiri


Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa ukifikisha miaka thelathini utanikumbuka, kwasasa bado unahisia za kishule shule, hujui life reality. Ukitaka kujua hilo jione tu unavyohisi we in msomi kumbe wasomi wako mtaani wanamaisha yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuwasiliane for serious business issues... Karin pwani ya Msata

Jr[emoji769]
 
Kwasasa ujasiriamali kwa technology unalipa kwenye....
FOREX
CRYPTOCURRENCY
BETTING

Sijui wewe unataka kufanya upi,coz vitu vyepesi vyepesi watu wameshavifanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…