Natafuta like minded people....(technology, businesses.....n.k)

Natafuta like minded people....(technology, businesses.....n.k)

Mimi ni msichana, nina umri wa miaka 22, nimemaliza chuo mwaka huu. Chuoni nilikua nasomea mambo ya IT (Information Technology). Kwa sasa nipo Dar es Salaam.

Napenda ujasiriamali kwa mfumo wa technology........

Natamani sana nikutane na watu wenye background tofauti ili pamoja tufanye kazi tufike malengo fulani......

Kwa mtu yeyote atakae vutiwa na huu uzi.....naomba comment hapo chini......

“Pamoja tutaenda mbali, peke yako utaenda haraka”

Sent using Jamii Forums mobile app
Pomoja sana. Mm nilishaanza baadhi ya project na zingine ziko on the way

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Technology ndio kitu ambacho kitaenda kutawala dunia in near future kwenye kila kitu hvo kama una wazo la kibiashara lenye technology ndani yake basi in future uta survive na co kuwa slave, binafsi Nina mawazo meng na baadhi nishaanza kuyafanyia kazi kama kweli upo interested nicheki ila kama ni Uzi tu kama Uzi mwngne then tuendelea kutupia comment za kujiliwaza. " if you business is not on the internet you will be out of business" Briget

Sent using Jamii Forums mobile app
Technology is not all about IT boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sio mwana IT ila nina business idea yangu ya kilimo ila ime-base kwenye IT nimeichambua vyema niliiandika kushindania pesa ipo vizuri tunaweza fanya kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What is it all about??
Na unaposema technology unamaana ya kitu gani zaidi??!

Sent using Jamii Forums mobile app
Technology ni broad term but some people claim that technology is all about IT but not true IT is just a small part of technology

Nimekukosoa hapo uliposema kwamba kama business aihusu internet basi uwezi fanya biashara na uyo mtu, inaweza internet isihusike na ikawa technology, inamaana ili iwe tech sio lazima ihisishe internet boss.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mim nin
Mimi ni msichana, nina umri wa miaka 22, nimemaliza chuo mwaka huu. Chuoni nilikua nasomea mambo ya IT (Information Technology). Kwa sasa nipo Dar es Salaam.

Napenda ujasiriamali kwa mfumo wa technology........

Natamani sana nikutane na watu wenye background tofauti ili pamoja tufanye kazi tufike malengo fulani......

Kwa mtu yeyote atakae vutiwa na huu uzi.....naomba comment hapo chini......

“Pamoja tutaenda mbali, peke yako utaenda haraka”

Link ya kujiunga na whatsApp group hii hapa chini
(group litakua diactivated baada ya masaa 24).
Like minded People

Sent using Jamii Forums mobile app
mm nna wazo linpaswa kutengenezewa mobile app nichek 0744731108
 
Back
Top Bottom