Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Pomoja sana. Mm nilishaanza baadhi ya project na zingine ziko on the wayMimi ni msichana, nina umri wa miaka 22, nimemaliza chuo mwaka huu. Chuoni nilikua nasomea mambo ya IT (Information Technology). Kwa sasa nipo Dar es Salaam.
Napenda ujasiriamali kwa mfumo wa technology........
Natamani sana nikutane na watu wenye background tofauti ili pamoja tufanye kazi tufike malengo fulani......
Kwa mtu yeyote atakae vutiwa na huu uzi.....naomba comment hapo chini......
“Pamoja tutaenda mbali, peke yako utaenda haraka”
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app