chichiboy1
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 1,371
- 1,856
Naunga mkonoFungua group la WhatsApp tuekee link hapa au unataka tumalize humuhumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ure wrong.... Artificial intelligence, IoT na big dataKwasasa ujasiriamali kwa technology unalipa kwenye....
FOREX
CRYPTOCURRENCY
BETTING
Sijui wewe unataka kufanya upi,coz vitu vyepesi vyepesi watu wameshavifanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupo wengi mkuu...I am extension officer by professional (mtaalam wa kilimo na mifugo), also i am very passionate in iT and entrepreneurship tuki team up with others i am sure tutafika mahali. Tayari nina ideas kadhaa za iT bado sijaanza utekekezaji wake (nmezi document mahali) i am ready to share with you!
Cjui baada ya uzi huu what's next... , tunakusikiliza mkuu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni msichana, nina umri wa miaka 22, nimemaliza chuo mwaka huu. Chuoni nilikua nasomea mambo ya IT (Information Technology). Kwa sasa nipo Dar es Salaam.
Napenda ujasiriamali kwa mfumo wa technology........
Natamani sana nikutane na watu wenye background tofauti ili pamoja tufanye kazi tufike malengo fulani......
Kwa mtu yeyote atakae vutiwa na huu uzi.....naomba comment hapo chini......
“Pamoja tutaenda mbali, peke yako utaenda haraka”
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu nipe elimu mkuuu kuhusu hizo Artificial intelligence, IoT na big Data.
Ni pana sana ila kwa kifupi AI ni mambo ya RoboticsHebu nipe elimu mkuuu kuhusu hizo Artificial intelligence, IoT na big Data.
Ili twende sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Then nikupe kitu even Forex operates under AI algorithms. Pure Machine learning.