Natafuta loan kama 5m

Natafuta loan kama 5m

huyu jamaa utafikiri MNIGERIA. kila kitu, niPM for more infomation. yaani hawa wanigeria sijui wameingiaje JF.
 
Kwa hiyo Plot mkuu nakushauri uuze ama la nenda bank ukakope ujisaidie shida yako usikubali kukopeshwa na watu binafsi kwa riba itakusumbua sana, mwishowe utajikuta unauza kila kitu just to pay deni la mil 5!! uza kiwanja kikuokoe simple!!
 
HATTI IPO ktk jina lako?if yes njoo na hati nikupe 5m unayohitaji,itabidi uje na shahidi or utatumia mwanasheria.
kimfaacho mtu chake
Kibada kaka sm 980 karibu na barabara kabisa pls niPM for more
 
Wakuu,

Nina shida na kama 5m nahitaji loan ASAP will pay back in two installments in two months najua kuna wanaotoa huduma hii (sio bank) kama unamfahamu mtu wa kunisaidia please PM me

Naona umeweka avatar ya MDADA kukamata attention, kweli mkopo noma..lol
 
EL Toro; umefanikiwa nini? naona umebadili hata avatar yako sasa, umeondoa ili yenye mvuto.
 
mgombezi huyu ng'ombe wako anaitwa nani?naona sasa umeweka Face picture yake,sometimes huwa naimagine kama anajina,na akikuona huwa anafurahi.
EL Toro; umefanikiwa nini? naona umebadili hata avatar yako sasa, umeondoa ili yenye mvuto.[/Q
 
El Toro, achana na mikopo ya riba. kama una gari na una kiwanja na kweli una shida, nione mie ntakusaidia bila riba. Leo Kwako Kesho kwangu. Sikujui hunijui lakini naamini kuwa kusaidiana kwenye shida ni uungwana na hizi fedha tulizonazo kama hatusaidiani faida yake nini? ni pm kama bado hujatatuwa matatizo.
 
Niko tayari kukupa mkopo kwa masharti ya rehani ya fixed asserts. Gari sikubali kwa vile ni mali inayohamishika. Niko tayari ardhi na nyumba. Na uwe tayari kulipa riba ya 7%. Kama uko tayari nibip
 
Kama bado hujapata loan, unaweza kupata sehemu kwa 15% kwa mwezi. Ila sharti uwe mfanyakazi na rehani ni kadi ya gari. Ni PM nikwuelekeze kwa kwenda. Halafu kaka naomba ushauri wa jinsi ya kupata hati ya nyumba
 
El Toro, achana na mikopo ya riba. kama una gari na una kiwanja na kweli una shida, nione mie ntakusaidia bila riba. Leo Kwako Kesho kwangu. Sikujui hunijui lakini naamini kuwa kusaidiana kwenye shida ni uungwana na hizi fedha tulizonazo kama hatusaidiani faida yake nini? ni pm kama bado hujatatuwa matatizo.
Umenena mkuu aisee huu ukata wa Jk umetufanya WaTanzania tuwe watu wa ajabu sana mtu anataka ulipe mkopo kwa riba ya 20% in a month that is radiculous
 
Wakuu,

Nina shida na kama 5m nahitaji loan ASAP will pay back in two installments in two months najua kuna wanaotoa huduma hii (sio bank) kama unamfahamu mtu wa kunisaidia please PM me

It is as if huko sure kama kiasi unachoitaji kama kina tosheleza hiyo shuguli yako. Chunga sana usije poteza mali yako kwa kopa bila kuzingatia your financial plan. if your practical option is to borrow for consumption, this inevitably puts your financial health on a drip. Ila kwa kushauri kama uko na mshahara kwanini usitumie hiyo fursa, nenda benki watakupa kiasi unachoitaji. Kama unavyo sema that unaweza kulipa ndani ya miezi miwili this means you have enough resources. The better option is to go to the bank. Kama unakopa kwa riba from mtu binafsi kusiwe na riba. Otherwise you will end up crying with one eye. Think twice please.
 
Asante kwa ushauri mkuu ila at this point I still need this help na nimetumia wadau PM nasubiri their responce
 
unasema uko na gari. Gari is just liability. Kwanini usiuze hiyo gari yako uwe na amani na pesa zako. OR huo muda unaopoteza kwa kusubiri wadau waku PM go to the bank and na ukijibiwa na hao unaowa kuPM compare masharti then at the end of the day nenda na mwenye masharti nafuu. Nakushangaa sana unataka kukopa pesa kwa mtu binafsi je ukisha kopa alafu after a few days akifa siutakua umepoteza mali yako? Bcoz kama unataka 5m lazima mali unayoweka rehani value yake should be more than what you need. Chunga sana.
 
Back
Top Bottom