mimi mtakatifu
JF-Expert Member
- Oct 11, 2019
- 248
- 539
Wakuu naomba ushauri ni sehemu gani hapa Dar es Salaam naweza kuweka stationery ya kawaida tu sio kubwa na nikapata mzunguko mzuri wa pesa.
Ukinishauri nitaenda kutembelea eneo na kupima kutazama najua wataalam wa fursa mpo unaweza ukawa umeona sehemu inayofaa nitashukuru ukinipa ushauri.
Kuna pesa naifukuzia nikiipata naanzisha stationery naombeni msaada wenu wa ushauri.