mimi mtakatifu
JF-Expert Member
- Oct 11, 2019
- 248
- 539
Jaribu kigamboni karibu na Chuo cha Mwalimu Nyerere. Ukiuliza hapo hautokosa mkuu .Wakuu naomba ushauri ni sehemu gani hapa Dar es Salaam naweza kuweka stationery ya kawaida tu sio kubwa na nikapata mzunguko mzuri wa pesa.
Ukinishauri nitaenda kutembelea eneo na kupima kutazama najua wataalam wa fursa mpo unaweza ukawa umeona sehemu inayofaa nitashukuru ukinipa ushauri.
Kuna pesa naifukuzia nikiipata naanzisha stationery naombeni msaada wenu wa ushauri.
Ni dmWakuu naomba ushauri ni sehemu gani hapa Dar es Salaam naweza kuweka stationery ya kawaida tu sio kubwa na nikapata mzunguko mzuri wa pesa.
Ukinishauri nitaenda kutembelea eneo na kupima kutazama najua wataalam wa fursa mpo unaweza ukawa umeona sehemu inayofaa nitashukuru ukinipa ushauri.
Kuna pesa naifukuzia nikiipata naanzisha stationery naombeni msaada wenu wa ushauri.
Sawa nitaenda kutazama.Jaribu kigamboni karibu na Chuo cha Mwalimu Nyerere. Ukiuliza hapo hautokosa mkuu .
Nakuchek mkuuNi dm
Watu wamepotea
Anza na mitaa ya karibu na unapoishi au kufanya kazi, ukaribu utakusaidia kuwahi mapema kufungua na pia kisimamia vema.Watu wamepotea
Ok nimekuelewa mimi naishi Kwa Msuguli ni karibu na Magufuli stand mbezi ya kimara.Anza na mitaa ya karibu na unapoishi au kufanya kazi, ukaribu utakusaidia kuwahi mapema kufungua na pia kisimamia vema.
Swali lako halifanyi kazi, mfano unaishi mbezi nikakuambia mbagala kuna frem eneo la shule utakuja???
Tembelea hayo maeneo angalia kama kuna stationery pima na uhitaji wake pia kama zinahitajika....Ok nimekuelewa mimi naishi Kwa Msuguli ni karibu na Magufuli stand mbezi ya kimara.
Yani Kimara kumepoa sana kupata sehemu utapiga copy 100 kwa siku ni kitu haiwezekani na mimi nilitarget sehemu naweza pata mpaka copy 500 siku nzuri ya biashara. Nashukuru kwa angalizo nitazingatia kuendelea kufanya research.Tembelea hayo maeneo angalia kama kuna stationery pima na uhitaji wake pia kama zinahitajika....
Angalia eneo ambalo lina shule shule hivi....Yani Kimara kumepoa sana kupata sehemu utapiga copy 100 kwa siku ni kitu haiwezekani na mimi nilitarget sehemu naweza pata mpaka copy 500 siku nzuri ya biashara. Nashukuru kwa angalizo nitazingatia kuendelea kufanya research.
Shukrani, nimechukua ushauri wako.Angalia eneo ambalo lina shule shule hivi....
Kwa sasa ofisi nyingi zipo maeneo gani na flemu ambazo sio ghali at least laki?Ingekuwa ni miaka ya nyuma ningekushauri maeneo ya posta ndio zilijaa ofisi.