Natafuta lodge au guest bubu ya bei rahisi mbeya mjini

Natafuta lodge au guest bubu ya bei rahisi mbeya mjini

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,275
Reaction score
3,316
Kesho asubuhi nitakua mbeya mjini kwa shughuli zangu binafsi.
Natafuta lodge au guest house zile bubu ya bei rahisi,budget yangu ni shilingi za kitanzania elfu 8 to 10.

Iwe mbeya mjini maeneo ya kuanzia uyole,nanenane,ilomba,Sae,Mama John,Soweto,isyesye na mafiati.iwe na usalama wa kueleweka na maji ya moto ya kuoga,i will be there till Friday.
Asante.
 
Hapo uyole guest bubu kibao wanalala madereva wa fuso za mikoani.bei elekezi huwa ni elfu 5 na kuendelea.nane nane pale napo zipo kibao tu
 
Back
Top Bottom