Natafuta love...

Natafuta love...

we ni -ke au -me? Je, hauna kigezo chochote unachoangalia?
 
we mwenyewe jonga labda unatafuta kachumbari
 
Wageni hawa yaani wakianzisha thread utagundua tu
 
Mkuu nadhani wewe utakuwa Fataki maana kwa jinsi jina lako lilivyo ni kama lizee flani hivi.
 
Love is what makes the earth spin,usihangaike kutafuta upendo kwa kuwa unaishi nao hapo ulipo.
 
Na mie natafuta mchumba wa nguvu. Haya vekesheni ndo topic ya msimu humu,utanpeleka wapi mwanakwetu?
 
Back
Top Bottom