Trendz
Senior Member
- Jun 27, 2021
- 125
- 183
Habarini ndugu zangu!
Kama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu, natafuta mabati yaliyotumika. Kwa mtu yeyote mwenye nayo naomba tufanye mawasiliano nahitaji kama mabati 50. Pia natafuta ceiling boards USED, matofali USED, mbao USED.
Mahali vinapohitajika ni Morogoro.
Asanteni!