Spliffcharm
Senior Member
- Jun 21, 2020
- 136
- 370
Habari wana JF na wapambanaji wenzangu.
Natafuta msaada wa connection ya kupata mabalo ya mitumba yenye nguo za aina ya Bathrobes kama picha husika inavyoonekana kwenye attachment...
Shukrani mkuu. Nitapita hapo leo nicheck [emoji120]Kama uko dar nenda mtaa wa Sofia kawawa mnazi mmoja
Sante Kamanda [emoji109]Jinsi unavyoweza kuagiza mabelo ya mtumba kutoka China na Dubai kwa bei chee na kupata faida mara 2 au 3 zaidi
Hello wana bodi, natumai wote mko poa karibuni kwenye hii thread ambayo kwa namna 1 au nyingine inaweza kukupa idea ya kufanya biashara ya kuuza mtumba: A. SIFA ZA MTUMBA WA CHINA Belo za mtumba wa China uko vzuri na unatofautiana Kati ya supplier na supplier na wao wana chukua nguo Asia...www.jamiiforums.com