Spliffcharm
Senior Member
- Jun 21, 2020
- 136
- 370
Habari wana JF na wapambanaji wenzangu.
Natafuta msaada wa connection ya kupata mabalo ya mitumba yenye nguo za aina ya Bathrobes kama picha husika inavyoonekana kwenye attachment.
Niko serious na nahitaji hata leo. Bei ziwe reasonable na competitive, Uelewa wa bei za soko ninao.
Ahsanteni sana na siku njema.