Natafuta maduka ya vifaa vya solar Dar es Salaam

Natafuta maduka ya vifaa vya solar Dar es Salaam

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
2,977
Reaction score
3,798
Wadau, hamjambo natafuta maduka ya vifaa vya solar Dar es Salaam ,kwani natafuta bulbs za solar za trade,na photocell ya dc yaani ya solar. Iwapo kuna mdau humu anaweza kunisaidia kupata hizo bidhaa nitafurahi.
 
Nasikia kuna betri bora mjini, labda wauzaji wameenda kufungwa mwaka
 
Back
Top Bottom