fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
Wadau, hamjambo natafuta maduka ya vifaa vya solar Dar es Salaam ,kwani natafuta bulbs za solar za trade,na photocell ya dc yaani ya solar. Iwapo kuna mdau humu anaweza kunisaidia kupata hizo bidhaa nitafurahi.