Natafuta mafundi Alminium

Natafuta mafundi Alminium

Class 1

Senior Member
Joined
Jan 21, 2022
Posts
121
Reaction score
445
Wakuu habari,

Nina shida na milango ya Aina hii, Frameless vipimo vya mlango wangu UREFU Ft 7.7 Upana Ft 7.9 naomba kujua na Bei kwa wahusika, DSM.


FB_IMG_1655160261565.jpg
 
Back
Top Bottom