Natafuta mafundi hawa Fundi Blandering, Fundi Gypsum, Fundi Skimming kwa wanaowajua wazoefu niunganisheni nao/nae

Naombeni msaada ndugu zangu wa Mafundi wazuri wanaoweza kazi kwa bei nafuuu kabisa.

Nyumba imeisha ila bado blandering, nyumba imepigwa plasta nnje na ndani ila bado haijafanyiwa skiming wala rangi.

Nahitaji Fundi wa skiming na rangi kisha Blandering na Gypsum au Ceiling Board.

Naomba Mnisaidie kati ya Gypsum na Ceiling Board ipi nzuri maana gypsum naona bei sawa na ceiling,wajuzi wa ubora na uzuri tafadhali.

Pia nipate Fundi wa kuniwekea madirisha nyavu nimeweka tu Ma grill ila hela ya kuweka Aluminium sina nimeona niweke tu nyavu naomba fundi wa kunisaidia hiyo kazi pia ili niweze Hamia eneo la tukio.

Nimeona madirisha mengi mazuri yamewekwa wavu tu na grill kwa ndani yamekaa vizuri sana yanavutia nadhani kwa kuanzia yanatosha.

AINA YA MAFUNDI NAOMBA MNISAIDIE NAO :

Sina hela jamani uwezo wangu kiuchumi ni mdogo.

Mafundi wakuniambia blandering tunapga kwa skwea mita siwataki.

mafundi wakuniambia tuna skim kwa skwea mita siwataki.

Kama Mtu anawajua mafundi Profeshinooo wa majumba ya UNUNIO hao siwataki sio levo zangu.

Nawahitaji mafundi MAIKO wanaojua kazi zao kwa levo za kiprofeshino.

Mimi ni Maskini kwahiyo naombeni mafundi wanaoendana na hali yangu hii sio nyumba ni Kibanda kama maboss wa JF mnavyopenda kuita vijumba vya hivi.

Msaada wenu tafadhali... Nyumba Ipo MLANDIZI fundi nitakugharamia NAULI tokea Mlandizi hadi SITE ila kutoka unapotoka hadi MLANDIZI gharama nauli ni juu yako.

Fundi akipatikana Leo Leo Leo tunaenda kuanza kazi

Vifaa vyote VIPO ni mafundi tu Hamna bado.
Kuna jamaa wa humu anaitwa Kicheche mkali Kwa number 0789005562 , niliwahi kuongea nae kazi ya ku skim na rangi kwa chumba kimoja jumla ni TZS 60,000/-, nyumba iko Dar. Sema mambo yakawa mengi ile hela ikaenda kwenye matumizi mengine.

Jaribu kuongea nae kama hii TZS 60,000/- kwako ni nafuu. Mtafute pia kwe mitandao kwa Kelvin HK.
 
Ananifaaa, Nitamtafuta tena namba yake ninayo nilimcheki hakunirudia nikahisi atakua na kazi,ila kwakua umemtaja tena nitamtilia msisitizo sasa.
 
Naombeni msaada ndugu zangu wa Mafundi wazuri wanaoweza kazi kwa bei nafuuu kabisa.

Nyumba imeisha ila bado blandering, nyumba imepigwa plasta nnje na ndani ila bado haijafanyiwa skiming wala rangi.

Nahitaji Fundi wa skiming na rangi kisha Blandering na Gypsum au Ceiling Board.

Naomba Mnisaidie kati ya Gypsum na Ceiling Board ipi nzuri maana gypsum naona bei sawa na ceiling,wajuzi wa ubora na uzuri tafadhali.

Pia nipate Fundi wa kuniwekea madirisha nyavu nimeweka tu Ma grill ila hela ya kuweka Aluminium sina nimeona niweke tu nyavu naomba fundi wa kunisaidia hiyo kazi pia ili niweze Hamia eneo la tukio.

Nimeona madirisha mengi mazuri yamewekwa wavu tu na grill kwa ndani yamekaa vizuri sana yanavutia nadhani kwa kuanzia yanatosha.

AINA YA MAFUNDI NAOMBA MNISAIDIE NAO :

Sina hela jamani uwezo wangu kiuchumi ni mdogo.

Mafundi wakuniambia blandering tunapga kwa skwea mita siwataki.

mafundi wakuniambia tuna skim kwa skwea mita siwataki.

Kama Mtu anawajua mafundi Profeshinooo wa majumba ya UNUNIO hao siwataki sio levo zangu.

Nawahitaji mafundi MAIKO wanaojua kazi zao kwa levo za kiprofeshino.

Mimi ni Maskini kwahiyo naombeni mafundi wanaoendana na hali yangu hii sio nyumba ni Kibanda kama maboss wa JF mnavyopenda kuita vijumba vya hivi.

Msaada wenu tafadhali... Nyumba Ipo MLANDIZI fundi nitakugharamia NAULI tokea Mlandizi hadi SITE ila kutoka unapotoka hadi MLANDIZI gharama nauli ni juu yako.

Fundi akipatikana Leo Leo Leo tunaenda kuanza kazi

Vifaa vyote VIPO ni mafundi tu Hamna bado.
Hbr natumai ni mzima wa afya hii post niya mda nafikili ulishawapata naka kazi itakuwailishafanyika ila kama ikitokea kazi nyingine plz usisite kunitafuta katka upande wa rangi na kuhusu upande wa bandalingi na board nikutoe hofu niko na kampan ya mafundi ninao waamini ambao nimeshawapeleka sehemu nying so naujua uwezo wao nanikiwaleta nitasimama kama ww nibos wango so hawata kupiga bei kubwa sana maana huwa hata mm nawafanyiaga kwa mabos zao natumeenda hivya mpaka sasa tupo kama family group no yangu 0693311454 kwa maelezo zaid usisite kunipigia
 
Back
Top Bottom