Natafuta mafundi hawa Fundi Blandering, Fundi Gypsum, Fundi Skimming kwa wanaowajua wazoefu niunganisheni nao/nae

Kuna jamaa wa humu anaitwa Kicheche mkali Kwa number 0789005562 , niliwahi kuongea nae kazi ya ku skim na rangi kwa chumba kimoja jumla ni TZS 60,000/-, nyumba iko Dar. Sema mambo yakawa mengi ile hela ikaenda kwenye matumizi mengine.

Jaribu kuongea nae kama hii TZS 60,000/- kwako ni nafuu. Mtafute pia kwe mitandao kwa Kelvin HK.
 
Ananifaaa, Nitamtafuta tena namba yake ninayo nilimcheki hakunirudia nikahisi atakua na kazi,ila kwakua umemtaja tena nitamtilia msisitizo sasa.
 
Hbr natumai ni mzima wa afya hii post niya mda nafikili ulishawapata naka kazi itakuwailishafanyika ila kama ikitokea kazi nyingine plz usisite kunitafuta katka upande wa rangi na kuhusu upande wa bandalingi na board nikutoe hofu niko na kampan ya mafundi ninao waamini ambao nimeshawapeleka sehemu nying so naujua uwezo wao nanikiwaleta nitasimama kama ww nibos wango so hawata kupiga bei kubwa sana maana huwa hata mm nawafanyiaga kwa mabos zao natumeenda hivya mpaka sasa tupo kama family group no yangu 0693311454 kwa maelezo zaid usisite kunipigia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…