Natafuta mafundi ujenzi Morogoro

Natafuta mafundi ujenzi Morogoro

nkutuzebari

New Member
Joined
May 14, 2023
Posts
1
Reaction score
1
Habarini mafundi mlioko Morogoro naomba mje inbox na gharama za kunijenege nyumba ifuatayo kutoka msingi hadi boma.

Master 1, vyumba viwili kimojawapo ni self, dining, jiko na store kiwanaj ni tambalale
 
Mtafute huyo ni fundi mzuri sana&gharama zake ni nafuu.
0711 836 110
(Anaitwa Peter)
Alishawahi nijengea nyumba
zangu pale mji kasoro.
 
Afadhari kuna wa Moro wengi humu.

Oneni. Natafuta kiwanja kilosa au Kimamba kiwe eneo la biashara. Tsh ngapi kwa makadirio?
 
Habarini mafundi mlioko Morogoro naomba mje inbox na gharama za kunijenege nyumba ifuatayo kutoka msingi hadi boma.

Master 1, vyumba viwili kimojawapo ni self, dining, jiko na store kiwanaj ni tambalale
Umeshapata au bado?
 
Kama bado haujapata fundi nikupe kijana wangu akufanyie kazi zote kuanzia msingi,boma,kupaua hadi finishing.
 
Sijajua kwanini umehitaji kutoka Morogoro. Tupo Dsm na Tunafika popote Tanzania kwa gharama zetu. 0789005562 njoo na Ramani tupatane kazi. visit site ni naul Kuja na kurudi kutoka Dar....Karibu sana
 
Back
Top Bottom