Natafuta mafuta ya mawese

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Wakuu kwema? Natafuta mafuta ya mawese kwa anayeuza mengi bei ya jumla

Asanteni
 
Unataka kiasi gani na upo wapi?
Maana kwa sasa mawese dumu la lita 20 ni shilingi elfu 60 kwa huku kigoma yanapozalishwa kwa wingi kuliko sehemu yeyote Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…