Natafuta mafuta ya mawese

Natafuta mafuta ya mawese

Unataka kiasi gani na upo wapi?
Maana kwa sasa mawese dumu la lita 20 ni shilingi elfu 60 kwa huku kigoma yanapozalishwa kwa wingi kuliko sehemu yeyote Tanzania
 
Back
Top Bottom