Natafuta Mahala Pakuwekeza Karoho Kangu..!

Hahaha mkuu mie mgeni ila wakat naingia humu nilitahadharishwa kuhusu Daby si wakuunda nae serikali ya umoja wa kitaifa ,Yatanikuta ya seifu na lipumba [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Swahiba mimi mtu poa bwana. Shemeji nitamheshimu japo sitamwogopa
Mkuu heri nikupe pesa itafika ila sio kiburudisho ,
maana naskia una aleji navyoo [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…