Natafuta Mahala Pakuwekeza Karoho Kangu..!

Swahiba mimi mtu poa bwana. Shemeji nitamheshimu japo sitamwogopa
Mim hadi sasa sielewagi huyu charlie deby alinipaga Shunie sasa sijuw amemkataza...Deby anahitaji Bani ya century asee [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
Mim hadi sasa sielewagi huyu charlie deby alinipaga Shunie sasa sijuw amemkataza...Deby anahitaji Bani ya century asee [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Haja wewe mtoto alikukubali ukashindwa kumkeep akakimbia. Tusilaumiane kwa hilo .

Na ban msinipe maana shemeji yenu ataipangua ofisini huko
 
Njoo nikuwekee kwangu huku kuna nafasi,hako karoho katakuwa ndani ya roho yangu,ss ukisumbua utanisumbua na mm.weka agano kwanza
 
Mim hadi sasa sielewagi huyu charlie deby alinipaga Shunie sasa sijuw amemkataza...Deby anahitaji Bani ya century asee [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Hahaha Daby weka mbali na watoto, akikuweka sehemu basi kaa ukijua mbele utakuwepo wewe kugawasahani na watu wanaweza wakajua kama mgahawa wako ,ila yeye yuko jikoni ndio mpishi na mpakuzi na kuonja pia ,na inawezekana akaamuwa hata chakula kisije tena uko mbele[emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Yani anza kuhesabu karoho kako kametua sehemu salama isiyo na tashwishwi yoyote
Asante mama ,na kwanzia leo naomba ukaanzishe kauzi kenye anwani ifatayo; Kuwa umenipa hati ya kudumu ya uwekezaji kwako kwa mkataba wa maisha ,na Pia kuanzia sasa karoho kangu kapo kwako na salama bin salmini bila tashiwi zozote na utakalinda na miunguromo ya risasi zinazopogwa daslam!!
Na Wale mbwa mwitu wote wakae pembeni ,huna haja ya uwekezaji tena
 
Haja wewe mtoto alikukubali ukashindwa kumkeep akakimbia. Tusilaumiane kwa hilo .

Na ban msinipe maana shemeji yenu ataipangua ofisini huko
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Njoo nikuwekee kwangu huku kuna nafasi,hako karoho katakuwa ndani ya roho yangu,ss ukisumbua utanisumbua na mm.weka agano kwanza
Naomba utambulisho wa jinsia Tafadhali ukiambata na kapicha kako ka 2017 Pm maana haka kaofa ni kwa "Ke "
 
Ayii bila shaka wale mbwa mwito wameshasikia na watakaa mbali mita 350
 
Ayii bila shaka wale mbwa mwito wameshasikia na watakaa mbali mita 350
Ni heri wakae mbalii maana si kwakuvizia huku waliko nako ila mungu anawaona na ataenda wauliza kwa uwindaji wao[emoji2] [emoji2]
 
Haya umesha pata wa kukatunza hako karoho kako. Kakiungua kumbuka kurudi kwenye friji kapate ubaridiiii kapoe hahahaha
 
Usikape majukumu yasiyo yake! Kaache na kazi yake ya asili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…