Natafuta majembe yaliyokatika shingo kanda ya ziwa

Natafuta majembe yaliyokatika shingo kanda ya ziwa

Mods kuna shida gani kila nikiweka picha inagoma!
 
Mods kuna shida gani kila nikiweka picha inagoma!
Bonyeza #

Mwambie jembe bila bichwa la kuchomeka mpini
FG05905-17fc6d-4039630358.gif
 
Nitanunua yote 100 mapya kabisa, wew peleka kwa fundi wakukatie vichwa.
Mi unipe changu, mambo yasiwe mengi maisha ndio haya haya
Dah mwamba ni yale majembe yaliyotumika yakakatika au kuchanika pale mbele.

Sio majembe mapya!
 
Kwanini usinunue mapya wewe uyapeleke kwa fundi akukatie vichwa ? Au kwenu hakuna mafundi ? Sasa si uajiri tu fundi
Sio majembe mapya ni yale makuu kuu mkuu!
kama unayo kuanzia 100 kuendelea.
 
Sif majembe mapya ni yale makuu kuu mkuu!
kama unayo kuanzia 100 kuendelea.
Najua muuza majembe niambie dau nimwambie kama inalipa nina uhakika badala ya kuendelea kutengeneza na kuongoza stock atakachofanya ni kuchukua mzigo wake na kwenda kulima mawe... within a week atakuwa amemaliza (Je unanunua bei kubwa zaidi ya jembe jipya)?
 
Nanunua majembe yaliyotumika tu yenye kasoro yoyote ila liwe kubwa kiana.
bei kg ya chuma.
 
Back
Top Bottom