Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Okay kwahio ni kama vyuma chakavu.., basi kuna huyu mdau nadhani amekuharibia uzi muombe afute.... au humu kuna wanunuzi wawili ?Nanunua majembe yaliyotumika tu yenye kasoro yoyote ila liwe kubwa kiana.
bei kg ya chuma.
the glassroof said:
Nitanunua yote 100 mapya kabisa, wew peleka kwa fundi wakukatie vichwa.
Mi unipe changu, mambo yasiwe mengi maisha ndio haya haya