Okay kwahio ni kama vyuma chakavu.., basi kuna huyu mdau nadhani amekuharibia uzi muombe afute.... au humu kuna wanunuzi wawili ?Nanunua majembe yaliyotumika tu yenye kasoro yoyote ila liwe kubwa kiana.
bei kg ya chuma.
Ni used chapa jogoo mchina mkuu.Unanunua Kwa KG au unanunuaje ?
Majembe unayoyhitaji ni yale used ya sido
Naheshimu mawazo yake.he or she was right!Okay kwahio ni kama vyuma chakavu.., basi kuna huyu mdau nadhani amekuharibia uzi muombe afute.... au humu kuna wanunuzi wawili ?
the glassroof said:
Nitanunua yote 100 mapya kabisa, wew peleka kwa fundi wakukatie vichwa.
Mi unipe changu, mambo yasiwe mengi maisha ndio haya haya
Kwa kilimo tu na mambo mengine..nikusanyie Majembe yaliyotumika yakifika 100 nichek!
Inawezekana maana harlewekiHakuna lolote ushirikina tu
Aisee kwanini unamawazo ya kishirikina?!hujui kazi ya jembe??Hakuna lolote ushirikina tu
Natafuta majembe used hata yaliyokatika shingo ya kuwekea mpini...kuanzia 100 na kuendekea.Inawezekana maana harleweki
Natafuta majembe used hata yaliyokatika shingo ya kuwekea mpini...kuanzia 100 na kuendekea.
UMEELEWA?
Tafuta majembe kama unayo nichek kama huna pita mbali.Kwa nini yawe yaliyo tumika na yaliyo katika? Una yatumia kwenye shughuli gani majembe ambayo hayana kazi tena?
Tafuta majembe kama unayo nichek kama huna pita mbali.
Asituahirikishe si eti.Fanya ushirikina mwenyewe
Kimya sana umeyapata kiasi gani mwamba?Unayataka kiasi gani niweke wadau sahizi.. ila ni ngumu pia sababu ya wake wanao kusanya mavyuma mtaani
Always be positive!Asituahirikishe si eti.