Natafuta Majina ya aina hii

Natafuta Majina ya aina hii

Kishongo

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2010
Posts
932
Reaction score
64
Wakuu wana-JF
Naomba msaada wenu ili kukamilisha utafiti wangu.
Natafuta majina ya kiswahili yanayofanana na machache niliyoorodhesha hapa.

Naomba nisisitize kuwa huu ni utafiti tu, sikusudii kuwaudhi au kuwadhalilisha kwa njia yeyote wenye majina hayo.

Natanguliza shukrani zangu za dhati.

Shida
Mtumwa
Jalala
Masumbuko
Mkosamali
Siwema
Majuto
....
 
Tabu,
Machozi,
Siwajibu,
Magumu,
Mateso,
Sifa (kuna zile sifa mbaya pia, hahaha)
fitina
mpweke,
pondamali

Mimi binafsi najua mtu angalo mmoja kwa kila jina nimeweka hapo.
 
kishongo
Masumbuko
Mkosamali
Siwema
Majuto
....

hapo bold wanasifa ya unafiki + udini
 
Tabu,
Machozi,
Siwajibu,
Magumu,
Mateso,
Sifa (kuna zile sifa mbaya pia, hahaha)
fitina
mpweke,
pondamali

Mimi binafsi najua mtu angalo mmoja kwa kila jina nimeweka hapo.

Shukrani nyingi kwako.
 
Narubongo utakua lini wewe?
Anyway...ukikua utaacha.
Wanaoijua CDM hawawezi kushangaa sana. Hiki si chama bali ni kampuni (au tuseme NGO) ya kifamilia.
Bahati mbaya sana ni kwamba hii NGO inatawaliwa na kabila moja lililokaa kibiashara zaidi.
Wakuu wa kampuni wakiamua jambo, waajiriwa shurti waseme: 'hewala bwana'.
Shibuda ni mmoja wa waajiriwa. Kama ilivyo kwa wenzake wote, yeye si mbunge kwa maana halisi ya MBUNGE.
Hana haki ya kutoa mawazo yake kama MBUNGE.
Yanayomkuta yamesababishwa na yeye kudai haki hiyo - alijisahau akajiona kuwa yeye ni MBUNGE kama alivyokuwa CCM.
Kumbe hana haki hiyo katika kampuni hii.

Maandamano Kupinga Mgao wa umeme
Wenye hamu ya manundu kwenye nyuso zao, mnakaribishwa.
Wanaotaka kuonja adha ya kuvunjika kiuno, karibuni.
Wasiojua ladha ya maji ya pilipili na harufu ya mabomu ya machozi, huu ndio wakati wenu.

Jichunguze vizuri hapo juu
 
Jichunguze vizuri hapo juu

Sioni cha kujichunguza. Nimeeleza kile ninachoamini ni kweli. Ila wewe unaonekana unafuatilia zaidi thread zile zinaikosoa CDM. Hata kama umekunywa maji ya bendera ya chama hiki, usiwe kipofu kiasi hicho. CDM ina mapungufu ya kutisha.
 
Hongera, umefanikiwa kuipotosha mada yangu.
Roho mbaya hiyo.

Tuendelee........
Havijawa
Havintishi
Masimango
Wasiwasi
Mashaka
Sikujua
Semeni
Riziki
Majuto
Zabibu

unataka tuweke na yale ya kina Mwanakombo,Mwanamkuu, Mwanamvua, n.k?
 
preta jina zabibu umekosea halifanani hapo

na umesahau mtayaona
 
..................................................
 
siajabu
chausiku
kidawa
sikuzani
chaupele
 
Tuendelee........HavijawaHavintishiMasimangoWasiwasiMashakaSikujuaSemeniRizikiMajutoZabibuunataka tuweke na yale ya kina Mwanakombo,Mwanamkuu, Mwanamvua, n.k?
umesahau kina Mwazani na kina Sijaona..
 
Mzuri
Mbaya
Mkegani
fujo
Salama
.....Kule kwetu Nyumbi hii bombi hii
Kachiki
Kadoda
Kabufu
 
Tuendelee........HavijawaHavintishiMasimangoWasiwasiMashakaSikujuaSemeniRizikiMajutoZabibuunataka tuweke na yale ya kina Mwanakombo,Mwanamkuu, Mwanamvua, n.k?
bado yapo mengineMwantumuMwajumaZindunaSwaibathChukurubuBundaraNurudinKadhiYaziduumeridhika au bado niendelee?
 
Tuendelee........HavijawaHavintishiMasimangoWasiwasiMashakaSikujuaSemeniRizikiMajutoZabibuunataka tuweke na yale ya kina Mwanakombo,Mwanamkuu, Mwanamvua, n.k?
bado yapo mengineMwantumuMwajumaZindunaSwaibathChukurubuBundaraNurudinKadhiYazidu
 
Sikitu Havintishi Sinasudi Mtupeni

hahahah kaka Sinasudi hilo jina baba linanikumbusha KIMAMBA kilosa huko wadau niliwahi ishi miaka ya 1987-1989 aaargh mtoto alitokea Dar akaja Kimamba mkongeni!!! sio mimi alikuwa My Bro aaaaah mtoto Sinasudi weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee UPO JF? so sorry SINASUDI my Bro is no more!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom