Natafuta mama kuanzia miaka 34 awe mke wangu

Tumpara Dudu

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2016
Posts
625
Reaction score
506
Habari wanajopo. Mm ni kijana wa umri wa miaka 30,nilioa msichana wa miaka 25 na nimezaa nae mtoto 1.

Tatizo kubwa la msichana huyu nadhani ni kutokana na umri wake yaani sio mtu wa malengo kimaisha na ana matumizi mabaya sana ya hela,hajui kujibajet. Nimechoshwa na maisha ya kuanza moja kila siku badala ya kuendelea.

Sasa najitokeza kwenu kutangaza kuwa natafuta mwanamke alienizidi umri. Hata kama ameshazaa kwangu si tatizo na pia waliowahi kuolewa nitawapa kipaombele zaid. Mwanamke alienizid umri nina iman kuwa tayari keshayajua maisha hivyo tutashirikiana kupanga na kusimamia miradi ya kiuchumi tutakayoianzisha kwa mustakbali wa watoto wetu.

Waliotayari wani pm.
 
Kwani unatafuta mke au bussiness partner be specific ......mke sio mfanya biashara wa mme, akifanya nikama msaada tu, utaoa mpaka utawamaliza wote.
 
Sasa mke hajui kujibajeti mume si ndiyo unatakiwa umpangie?

Umekuja kufuata watu wazima humu haki unaenda kupigishwa deki.
 
Jambo dogo kama hilo ndio linakufanya umuache uyo dada aitheeee

Ningekupa mke wangu wew si ungekuwa chiz......?

Ndoa ina mambo mengi uendako ni kubaya kuliko unapokwenda
 
Hilo la kujua kupangilia matumizi halihusiani na umri mkuu.. Unaweza kuta mzee akipata fedha siku hiyo anakunywa hadi analala bar lakini mtoto wake ana nidhamu ya matumizi.

Ili upate wa hivyo, mchunguze bila kumwambia, maana akijua ataigiza.

Ila sikushauri kuacha kwa sababu hiyo. Tafuta namna ya kudhibiti tu
 
Kwani unatafuta mke au bussiness partner be specific ......mke sio mfanya biashara wa mme, akifanya nikama msaada tu, utaoa mpaka utawamaliza wote.
Natafuta mke anaejuwa maisha na mwenye kiu ya maendeleo
 
Jambo dogo kama hilo ndio linakufanya umuache uyo dada aitheeee

Ningekupa mke wangu wew si ungekuwa chiz......?

Ndoa ina mambo mengi uendako ni kubaya kuliko unapokwenda
Mkuu hebu nishauri plan b maana plan A nishaishindwa. Nn nifanye?
 
Hilo la kujua kupangilia matumizi halihusiani na umri mkuu.. Unaweza kuta mzee akipata fedha siku hiyo anakunywa hadi analala bar lakini mtoto wake ana nidhamu ya matumizi.

Ili upate wa hivyo, mchunguze bila kumwambia, maana akijua ataigiza.

Ila sikushauri kuacha kwa sababu hiyo. Tafuta namna ya kudhibiti tu
Nadhani haupo sawa mkuu. Mtu ambae kashaolewa na kuachika huyu kashayajua maisha na akipata bahati ya kuolewa tena atajichunga asirudie kosa
 
Back
Top Bottom