Natafuta Mama watoto (mke)

Msitari wa pambizo

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2014
Posts
3,098
Reaction score
5,451
Nina hitaji mchumba ambaye atakua serious na relationship ili awe mke wangu. Elimu yangu ni bachelor degree shughuli zangu nazifanyia Morogoro na Dar.
Sifa za mke awe na elimu japo form four na kuendelea, awe tayar kupima VVU am not interested na wasichana wafupi akiwa wa wastani au mrefu itapendeza zaidi.

Zaid ya yote awe tayar kufunga ndoa kanisani mwanzoni mwa mwaka kesho.

Aliye tayari asipate hofu anifuate PM. this is serious
 
https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/23160040

Wasiwasi wangu, watakuja kufukua hili kabiri.... tehteehhh
 
Mkuu kwenye Uzi kama huu huwaoni. Angetangaza mwanamke hapo ungeona balaa lake.
Mi nimejaribu ila naona hakuna dalili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…