Natafuta Mama watoto (mke)

Mkuu kwenye Uzi kama huu huwaoni. Angetangaza mwanamke hapo ungeona balaa lake.
Mi nimejaribu ila naona hakuna dalili
Mkuu mimi sijaribu nipo serious. Kuna ndoa nazifahamu kabisa zimeanzia Jf na ziko stable
 
Ufukunyuku sio kosa
Mkuu, kwani humu kuna mtu aliwahi kumlazimisha apost ujinga...!!?? Na kama tumemkumbusha kile alicho kiandika, hapo kosa letu ni nini...?
Ebu nakushauri usipende kulazimisha ushuzi maana ipo siku utakuja kujinyea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…